Gavana Abdulswamad aagiza ufanyaji wa biashara wa saa ishirini na nne katika soko la kongowea

  • | K24 Video
    190 views

    Katika harakati za kuinua uchumi wa Mombasa, gavana wa Mombasa Abdulswamad Sharif Nassir aliagiza ufanyaji wa biashara wa saa ishirini na nne katika soko la kongowea. Agizo hilo limeanza kufanyiwa kazi katika soko hilo huku baadhi ya wachuuzi wakilifurahia na wengine wakitaka wahusishwe kikamilifu kabla ya utekelezaji utakaoanza jumatatu.