Gavana Amos Nyaribo azindua usambazaji wa dawa Nyamira

  • | Citizen TV
    180 views

    Gavana Wa Nyamira Amos Nyaribo Amezindua Mpango Wa Usambazaji Wa Vifaa Vya Matibabu Ikiwemo Dawa Za Thamani Ya Shilingi Milioni Ishirini Na Tisa Nukta Mbili Katika Kaunti Hiyo.