Gavana Barasa apongeza Raila kwa juhudi zake za mazungumzo ya uwiano na serikali

  • | Citizen TV
    1,762 views

    Gavana wa Kakamega Fernandez Barasa amepongegeza hatua ya ya Kinara wa Azimio Raila Odinga kwa juhudi zake za mazungumzo ya uwiano na serikali na uteuzi wa viongozi wa chama cha ODM kwa baraza la mawaziri.