Gavana Barasa ataka uongozi wa chama cha ODM kufuata kanuni

  • | Citizen TV
    266 views

    Gavana wa Kakamega Fernandes Barasa ametaka uongozi wa chama cha ODM kutilia mkazo sheria za chama hicho wakati wa uchaguzi wa viongozi wa chama hicho.