28 Aug 2025 1:48 pm | Citizen TV 1,860 views Duration: 1:14 Gavana wa Kakamega Fernandes Barasa ametaka uongozi wa chama cha ODM kutilia mkazo sheria za chama hicho wakati wa uchaguzi wa viongozi wa chama hicho.