Gavana Fernandes Barasa ashutumu serikali kuu kutatiza ugatuzi kwa ubomozi Kakamega

  • | West TV
    186 views
    Hatimaye gavana wa kakamega fernandes barasa amevunja kimya chake kuhusu suala la ubomozi wa nyumba za kifahali unaoendelea mtaa wa milimani kaunti ya kakamega na kutishia kuishtaki serikali ya kitaifa iwapo ubomozi huo hautasitishwa kupisha mazungumzo