Gavana Fernandes Barasa asifu hatua ya serikali na upinzani kuandaa mazungumzo

  • | Citizen TV
    254 views

    Gavana wa Kakamega Fernandes Barasa amesifu hatua ya serikali na upinzani kuandaa mazungumzo kwa manufaa ya taifa.