Gavana George Natembey asema yuko tayari kujitetea kwa tuhuma za kutoa matamshi ya uchochezi

  • | Citizen TV
    1,022 views

    Gavana wa kaunti ya Trans Nzoia, Gavana George Natembeya akitarajiwa kufika mbele ya Tume ya NCIC Alhamisi wiki ijayo kufuatia tuhuma za kutoa matamshi ya uchochezi, amekanusha madai hayo huku akisema yuko tayari kujitetea