Gavana George Natembeya ashambuliwa kwa maneno Mlima Elgon

  • | West TV
    182 views
    Mbunge wa Kimilili Didmus Barasa pamoja na baadhi ya viongozi wa Mlima Elgon wamemshambulia Gavana wa kaunti ya Trans Nzoia kwa matamshi yake ya awali kuhusu eneo bunge la Mlima Elgon kutaka kuwa kaunti.