Gavana George Natembeya ataka Naibu wake kuelezea sababu ya kutokua kazini kabla ya kuruhusiwa afisi

  • | West TV
    1,986 views
    Gavana wa kaunti ya trans nzoia George Natembeya jumatatu hii alifika mbele ya kamati ya ugatuzi ya bunge la seneti kujitetea dhidi ya madai ya Naibu wake Philomena Kapkory aliyedai kuwa ametengwa na serikali ya Natembeya huku akihofia usalama wake