Gavana Hillary Barchok ataka wanasiasa kukomesha joto la kisiasa nchini

  • | Citizen TV
    187 views

    Baadhi ya viongozi kutoka kaunti ya bomet wakiongozwa na gavana wa kaunti hiyo Hillary Barchok wamekashifu matamshi ya viongozi kutoka eneo bonde la ufa ambayo wanadai yameleta mtafaruku kati ya rais william ruto na naibu wake rigathi gachagua .