Gavana James Orengo ashikilia kwamba inspekta jenerali wa polisi, Japheth Koome hafai kuwa ofisini

  • | Citizen TV
    1,050 views

    Gavana wa Siaya James Orengo anashikilia kwamba Inspekta jenerali wa polisi, Japheth Koome hafai kuwa ofisini kutokana na matamshi yake ya hivi majuzi dhidi ya waliouawa wakati wa maandamano ya upinzani.