Gavana Joseph Ole Lenku akosoa wapinzani wake wanaochochea wananchi

  • | Citizen TV
    193 views

    Gavana wa Kajiado Joseph Ole Lenku anasema hatakubali wapinzani wake kutatiza azma yake ya kuhakikisha huduma za afya zimeimarika kwenye kaunti hiyo