- 8,650 viewsDuration: 1:21Gavana wa Murang'a Irung'u Kang'ata amejiondoa kutoka chama cha UDA akisema hatawania kiti cha ugavana kupitia chama hicho mwaka ujao. Tangazo la Kang'ata limejiri saa kadhaa baada ya kuwa mwenyeji wa rais William Ruto huko Murang'a. Hata hivyo, Kang'ata hakutangaza chama cha kisiasa anachohamia akisema atatangaza mwelekeo wake baadaye.