Gavana Kawira Mwangaza atarajiwa kufika mbele ya kamati ya bunge la kaunti ya Meru

  • | Citizen TV
    596 views

    Waziri wa fedha, katibu wa kaunti na msimamizi wa wafanyikazi katika ofisi ya Gavana Kawira Mwangaza wanatarajiwa kufika mbele ya kamati ya haki na maswala ya sheria ya bunge la kaunti hiyo kujibu masuali kuhusu malalamishi ya naibu gavana wa Meru Isaac Mutuma M'Ethingia kuhusu masaibu anayopitia kazini. Gavana Mwangaza anatarajiwa kufika kwenye kamati hiyo adhuhuri kutoa taarifa yake kuhusu uhusiano wake na naibu wake na kujibu malalamishi ya naibu huyo