Gavana Kinyanjui atishia wenye kandarasi wa ujenzi ya mradi wa reli ya Mai Mahiu

  • | KBC Video
    Gavana wa kaunti ya Nakuru, Lee Kinyanjui amewapa wenye kandarasi za ujenzi wa mradi wa reli wa Mai Mahiu unaogharimu shilingi bilioni 3.5 majuma mawili kutatua mzozo kuhusu nafasi za ajira au watimuliwe. Kwingineko, katika kaunti ya Bomet, serikali imeonya vijana dhidi ya kujihusisha na visa vya uhalifu wa mtandaoni na badala yake kujihuhisha na shughuli ambazo zinaweza kuwakuza kiuchumi. Kwa taarifa hii na nyinginezo, huu ndio mkusanyiko wa habari kutoka kwenye magatuzi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #KBCNewsHour #KBClive