Gavana Leti Lelelit abadilisha baraza lake la mawaziri ili kuboresha utendakazi wa serikali Sambru

  • | Citizen TV
    142 views

    Gavana wa Samburu Lati Lelelit amefanyia mabadiliko baraza lake la mawaziri Kwa kuwahamisha baadhi ya mawaziri,pamoja na wakurugenzi wa idara mbali mbali katika kile anachodai ni kuboresha utendakazi wa serikali yake.