Gavana Mung'aro alalamikia kucheleweshwa kwa pesa za kaunti

  • | Citizen TV
    453 views

    Gavana wa Kilifi Gideon Mung’aro ameishutumu serikali ya kitaifa kwa kutatiza mipngo ya kaunti kwa kucheleweshwa pesa. Mung’aro amelalamika kwamba Serikali ya Kitaifa ilikuwa na tabia ya kutoa pesa mwisho wa mwaka wa kifedha, na kisha kuulaumu kaunti kwa kutotumia pesa hizo. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa Mpango wa mikakati yake katika Bunge la Kaunti ya Kilifi, Spika wa Bunge hilo Teddy Mwambire alikashifu Bunge la Kitaifa kwa kulemaza ugatuzi kwa kunyima kaunti pesa za kutosha.