Gavana Muthomi Njuki aunga mkono juhudi za rais Ruto za kuleta mabadiliko katika sekta ya afya

  • | Citizen TV
    188 views

    Gavana wa Tharaka Nithi, ambaye pia ni mwenyekiti wa kamati ya afya katika baraza la magavana, ameunga mkono juhudi za rais William Ruto za kuleta mabadiliko katika sekta ya afya, akipongeza uzinduzi wa wahudumu wa afya wa jamii .