Gavana Mutula Kilonzo Jnr azindua mtandao maaalum wa kutathimini utendakazi wa serikali yake

  • | Citizen TV
    403 views

    Gavana wa Makueni Mutula Kilonzo jnr amezindua mtandao maaalum wa kutathimini utendakazi wa serikali yake na pia kuwapa wakazi nafasi ya kuangilia miradi ya maendeleo inayondelezwa na kaunti.