Gavana Natembeya ataka sheria ya vyama kurekebishwa

  • | Citizen TV
    849 views

    Gavana wa Kaunti ya Trans Nzoia, George Natembeya, amelitaka Bunge la Kitaifa kufanyia marekebisho sheria inayohusu miungano ya vyama baada ya uchaguzi mkuu, ili kulinda nafasi ya upinzani na kuhakikisha kuna uwajibikaji