Gavana Nyaribo awasilisha hundi za pesa kusomesha watoto

  • | Citizen TV
    83 views

    Wanafunzi zaidi ya 250 kutoka familia maskini katika kaunti ya Nyamira na waliotia fora katika mtihani wa darasa la nane KCPE wamepokea ufadhili kutoka serikali ya kaunti ya Nyamira ili kuwawezesha kujiunga na shule za upili.