Gavana Ole Lenku asema wataendelea kufanya kazi Kajiado

  • | Citizen TV
    112 views

    Wafanyikazi zaidi ya 200 ambao wamekuwa wakifanya kazi katika kaunti ya Kajiado chini ya mpango wa ufadhili wa USAID sasa wanaweza kushusha pumzi baada ya Gavana Jospeh Ole Lenku kuwaondolea hofu ya kupoteza kaz