Gavana Orengo atamaushwa na majengo duni Siaya

  • | Citizen TV
    361 views

    Gavana wa Siaya, James Orengo, amesikitika na mtindo unaochipuka wa ujenzi wa mijengo duni mjini Siaya.