Gavana Otichillo awaonya wanakandarasi dhidi ya utepetevu

  • | KBC Video
    Gavana wa kaunti ya Vihiga Dr. Wilbur Otichillo ameagiza kusimamishwa kwa kazi ya mwanakandarasi aliyepatiwa zabuni ya ujenzi wa barabara kwa madai ya kutepetea kazini. ..ups..Amewatahadharisha wengine wanaofanya kazi duni kuwa watachukuliwa hatua sawia. Na katika kaunti ya Kiambu, aliyekuwa mbunge wa Thika Mjini Alice Ngánga ameimarisha miito ya kuharakishwa kwa utekelezaji wa sera mpya za bima ya afya ya kitaifa ili kugharamia matibabu yote ya wagonjwa wa saratani Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #KBCNewsHour #KBClive