Skip to main content
Skip to main content

Gavana Sakaja aagiza mpango wa dharura wa masaa 48 wa kukabiliana na mafuriko jijini Nairobi

  • | Citizen TV
    2,018 views
    Duration: 1:17
    Gavana wa Nairobi na Mwenyekiti wa Kamati ya Utekelezaji wa Mkataba wa Ushirikiano, Sakaja Johnson, ameamuru maandalizi ya mpango wa kushughulikia athari za mafuriko jijini ndani ya saa 48. katika mkutano uliohudhuriwa na makatibu wakuu wa serikali kuu, Sakaja amewaamuru maafisa wa serikali kuandaa ripoti ya ramani ya maeneo yenye maji mengi, kutambua barabara na miundombinu iliyoharibiwa, kuelezea kazi inayohitajika, mashirika yanayohusika, na gharama ili ukarabati uanze mara moja.