Skip to main content
Skip to main content

Gavana Sakaja atetea mkataba wa Nairobi na serikali kuu

  • | Citizen TV
    430 views
    Duration: 2:12
    Gavana wa Nairobi Johnson Sakaja amefika mbele ya kamati ya seneti kuhusu ugatuzi kuelezea kuhusu mkataba na serikali kuu. Sakaja ameidhibitishia kamari hiyo kuwa mkataba huo ni wa manufaa kubwa kwa utendakazi na miundo maingi jinini nairobi huku maseneta wakimtaka sakaja kuhakikisha kuwa serikali kuu haingilii kati huduma za kaunti kinyume na sheria za ugatuzi.