Skip to main content
Skip to main content

Gavana Simba Arati azindua matingatinga ya ujenzi wa barabara Kisii

  • | Citizen TV
    5,880 views
    Duration: 5:49
    Gavana wa kaunti ya Kisii Simba Arati hii leo anaongoza viongozi eneo la Gusii katika uzinduzi wa matingatinga ya ujenzi wa barabara ili kuboresha miundomsingi kote Kisii. Hafla hiyo inafanyika katika uga wa Gusii.