Gavana Susan Kihika ahojiwa kuhusiana na kashfa ya hospitali ya War Memorial

  • | Citizen TV
    778 views

    Gavana wa Nakuru susan kihika anahojiwa na bunge kufuatia tuhuma zilizotolewa na seneta wa kaunti hiyo Tabitha Keroche, kuhusu huduma za afya na kufutwa kiholela kwa wahudumu wa afya pamoja na kufungwa kwa hospitali ya Nakuru War Memorial ambapo wagonjwa walihamishiwkatika hospitali ya kaunti ya Nakuru.