Gavana wa Bomet ahimiza wakenya kupimwa aina za saratani

  • | Citizen TV
    143 views

    Baadhi ya viongozi kutoka kaunti za Narok na Bomet wametoa himizo kwa wakaazi kutembea hospitalini ili kupimwa aina za Saratani kama jambo la dharura.