Gavana wa Isiolo Abdi Guyo amebanduliwa

  • | Citizen TV
    4,758 views

    Gavana wa Isiolo Abdi Guyo amebanduliwa na wawakilishi wodi wa bunge la kaunti hiyo leo mchana. Guyo amebanduliwa baada ya wawakilishi 16 kati ya 18 kuunga mkono hoja ya kumbandua mamlakani.