Gavana wa Isiolo Abdi Guyo aokolewa na Seneti

  • | Citizen TV
    616 views

    Gavana wa kaunti ya Isiolo Abdi Guyo amenusurika kutimuliwa Mamlakani baada ya Seneti kuamua kwamba Bunge la kaunti ya Isiolo halikufuata utaratibu ufaao kumuondoa mamlakani. Kulingana na Seneti iliyoandaa kikao cha kusikiliza hoja ya kutimuliwa kwa Gavana huyo siku ya Jumanne, Bunge la kaunti ya Isiolo halikuandaa kikao cha kujadili na kupigia kura hoja ya kumuondoa mamlakani Gavana huyo. Melita Oletenges anaarifu zaidi.