Gavana wa Kakamega Fernandes Barasa amehojiwa kuhusiana na sakata ya Ksh. 1.8B

  • | Citizen TV
    2,099 views

    Gavana wa Kakamega Fernandes Barasa amehojiwa na maafisa wa tume ya kupambana na ufisadi kuhusiana na kupotea kwa shilingi bilioni 18 alipokuwa afisa mkuu wa Ketraco.pesa hizo zilipotea kutokana na kufutiliwa mbali kwa kandarasi ya usambazaji umeme kutoka kwenye mradi wa kawi ya upepo ya ziwa Turkana.