Gavana wa Kaunti ya Kwale Fatuma Achani asema serikali yake itaongeza ushuru wa muguka

  • | TV 47
    128 views

    Hata hivyo Gavana wa Kaunti ya Kwale, Fatuma Achani asema serikali yake itaongeza ushuru wa muguka akisema kuwa unasababisha madhara ya kiafya.

    Achani anasema bunge la Kaunti ya Kwale litafanyia marekebisho mswada wa fedha wa 2024 ili kuweka pendekezo hilo.

    Licha ya mjadala kuhusu mmea wa muguka hakuna sheria ambayo imepiga marufuku mmea huo.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __