17 Mar 2026 1:41 pm | Citizen TV 198 views Duration: 1:16 Gavana wa Kaunti ya Trans Nzoia, George Natembeya, amesema serikali yake haitavumilia madaktari walioajiriwa na serikali wanaoshindwa kuwahudumia wagonjwa ipasavyo huku wakitumia muda mwingi kuendesha kliniki zao binafsi.