Gavana wa Kericho Eric Mutai amependekeza kuvunjwa kwa Bunge la Kaunti hiyo

  • | NTV Video
    107 views

    Gavana wa Kericho Eric Mutai amependekeza kuvunjwa kwa Bunge la Kaunti na kusema kwamba yuko tayari kuruhusu kuanzishwa kwa mchakato wa ukusanyaji sahihi kutoka kwa wananchi, ili kufanikisha uvunjwaji wa Bunge la Kaunti.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya