Gavana wa Kirinyaga Waiguru aonya dhidi ya siasa za uchochezi

  • | Citizen TV
    216 views

    Gavana wa Kirinyaga Anne Waiguru amehimiza Wakenya wawe na uvumilivu na kujiepusha na siasa za chuki na uchochezi, akisema taifa limepiga hatua kubwa kidemokrasia na haliwezi kuruhusu kurudi nyuma kwa njia ya vurugu