10 Oct 2025 1:41 pm | Citizen TV 135 views Duration: 1:24 Gavana wa kaunti ya Kwale, Fatuma Achani, amefungua rasmi madarasa matatu katika shule ya msingi ya CAFGEM Bareto, wadi ya Mackinnon road, Kinango.