Gavana wa Laikipia Joshua Irungu akutana na vijana wa Gen Z

  • | Citizen TV
    1,556 views

    Gavana wa Laikipia Joshua Irungu amefanya kikao na vijana kutoka maeneo mbali mbali ya kaunti hiyo akiwa na lengo la kuwaskiza na kutathmini Haswa ni nini kinachowakera kwenye serikali yake.