Gavana wa Laikipia Ndiritu Muriithi aongoza kampeni Rumuruti, Sosian

  • | Citizen TV
    774 views

    Gavana wa Laikipia Ndiritu Muriithi aliongoza kampeni za Jubilee maeneo ya Rumuruti, Sosian na maeneo mengine na kuwataka wakazi wachague viongozi kwa busara. Kulingana naye, serikali ya Jubilee imekamilisha miradi mikuu ya maendeleo na kuwaomba wakazi wawachague viongozi wa mrengo wa Azimio la Umoja.