Gavana wa Machakos aamuru idara ziwape vijana zabuni

  • | Citizen TV
    245 views

    Gavana wa Machakos Wavinya Ndenti ameamuru idara zote za kaunti kuhakikisha kuwa zinawapa vijana zabuni za serikali ya kaunti hiyo.