Gavana wa Machakos awalaumu wanaozungumza ovyoovyo

  • | Citizen TV
    112 views

    Gavana wa kaunti ya Machakos Wavinya Ndeti ametoa wito kwa wanasiasa kuwa makini kuhusu wanachosema na kuwajibikia matamshi yao kwa umma