Gavana wa Makueni aitaka serikali isipunguze mgao wa kaunti

  • | Citizen TV
    264 views

    Gavana wa Makueni Mutula Kilonzo jnr ameikosoa serikali kuu kwa kupendekeza kupunguzwa kwa mgao wa serikali za kaunti akisema hatua hiyo itaathiri pakubwa maendeleo na utendakazi wa serikali za kaunti na kuitaka wizara ya fedha kubatilisha uamuzi huo.