Gavana wa Meru ataka wahusika kukamatwa

  • | Citizen TV
    72 views

    Gavana wa kaunti ya Meru Isaack Mutuma M’Ethingia sasa anataka waliosababisha machafuko katika soko la Siakago wakamatwe na kushtakiwa