Gavana wa Meru Mwangaza ashtumiwa na wakilishi wa wadi kwa makosa ya utumizi mbaya wa pesa za umma

  • | NTV Video
    148 views

    Gavana wa Meru Kawira Mwangaza kwa mara nyingine amejipata kwenye kikaangio cha kutaka kutemwa nje tena na wawakilishi wa wadi wa kaunti hiyo. Mwakilishi wa wadi mteule Ziporah Kinya amemshtumu Kawira kwa makosa kadhaa yakiwemo utumizi mbaya wa pesa za umma,

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya