Skip to main content
Skip to main content

Gavana wa Mombasa Abdulswamad Sharif Nassir amewashauri wafanyakazi waliostaafu kuwekeza fedha

  • | Citizen TV
    268 views
    Duration: 1:59
    Gavana wa mombasa Abdulswamad Sharif Nassir amewashauri wafanyakazi wa kaunti waliostaafu na kupokea malipo yao ya uzeeni kuwekeza ili kuhakikisha fedha hizo zimewanufaisha.