Gavana wa Mombasa Abdulswamad Shariff awataka wazazi kutowatelekeza watoto wao

  • | Citizen TV
    673 views

    Gavana wa Mombasa Abdulswamad Shariff Nasir amewataka wazazi kutowatelekeza watoto wao na kuhakikisha wamejiunga na shule badala ya kurandaranda na kuombaomba mitaani.