Gavana wa Murang'a asema viwanda ndivyo vitaokoa uchumi

  • | Citizen TV
    183 views

    Gavana wa Murang’a Irungu Kang'ata ametoa wito kwa wawekezaji kuwekeza zaidi katika sekta ya viwanda. kulingana naye, hiyo ndiyo njia bora ya kukuza uchumi na kuongeza nafasi za ajira kwa Wakenya. Akizungumza katika kongamano la uwekezaji Murang'a Kang'ata amesema kuwa mataifa yaliyoendelea yamepiga hatua kwa kutilia mkazo uwekezaji wa viwanda.