Skip to main content
Skip to main content

Gavana wa Murang'a Irungu Kang’ata awataka Wakenya kuepuka ukabila

  • | Citizen TV
    2,746 views
    Duration: 1:22
    Viongozi wa kisiasa sasa wametoa wito kwa wakenya kususia siasa za ugawanyaji ili kuimarisha hadhi ya maisha jumu nchini. Akizungumza katika hafla ya mchango eneo la Seme kaunti ya Kisumu, gavana wa Murang’a Irungu Kang’ata alitilia mkazo umuhimu wa umoja na kupuuza uchochezi wa kikabila.