15 Sep 2025 1:22 pm | Citizen TV 979 views Duration: 1:14 Gavana wa Nairobi , Johnson Sakaja aliongoza kundi la wafanyakazi wa usafi wa jiji la Nairobi maarufu Green Army kwenye zoezi la kusafisha mitaa ya jiji hili.